Thursday, March 3, 2016



Baada ya kudaiwa kumdiss Diamond Platnumz, Belle 9 kayaandika haya…!

Ni masaa machachetu tangu kusambaa kwa ujumbe ulioandikwa kupitia Instagram account ya staa wa bongo fleva Belle 9 ikionyesha kumdiss staa mwenzake bongoflevani Diamond Platnumz, ujumbe wenyewe ulisomeka hivi>>>2016-03-03-05.55.04

BELEEE
#Samaqhani ndugu watanzania kwa usumbufu uliojitokeza ,samahani sana kwa mwanamuziki mwenzangu@Diamondplatnumz #emailmnayoiona hapo juu ndio ya hacker aliekua anapost na kutukana watu ,tunaenda kureport na kama kuna mtu anaweza kutusaidia kuitrack hii email tunamuomba msaada wake…..asante sana @Kingkapita@kapitatechnologylimited kwa kunisaidia kurudisha account yangu #Mungu akubariki #polesana kwa niliowakwaza

0 comments:

Post a Comment

Share

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More