Friday, November 25, 2016


Kocha wa Manchester United Jose Mourinho Jumatano ya November 23 2016 kuelekea mchezo wa Europa League dhidi ya Feyenoord katika uwanja wa Old Trafford, aliamua kufanya press conference na waandishi wa habari.
Mourinho aliongea na vyombo vya habari na kuongea vitu vingi ikiwemo mpango wao wa kutumia kipengele kilichopo katika mkataba wa Zlatan kumuongezea mkataba wa mwaka mmoja, swali lakaja kuhusu uwezekano wa wao kuwa katika mpango wa kumsajili Lionel Messi kutoka FC Barcelona.
3ab0625f00000578-3965012-image-a-13_1479917614699
Swali hilo lilikuja baada ya vyombo vya habari vya Hispania kutangaza kuwa Man Unitedwanataka kuwatumia Adidas ambao ni wadhamini wa Man United na Lionel Messi ili kumpata kirahisi.
“Kila mwaka huwa ni stori hizo hizo kila mwaka kuwa ataondoka na haondoki, naamini kamwe hawezi kuhama FC Barcelona, Messi ni kwa ajili ya Barelona na Barcelona ni kwa ajili ya Messi” >>> Jose Mourinho


Tuhuma zinazoweza kumpeleka Eto’o miaka 10 jela

Moja kati ya habari zinazogonga vichwa vya habari barani Ulaya leo November 24 ni kuhusiana staa wa kimataifa wa Cameroon anayeichezea Antalyaspor ya UturukiSamuel Eto’o kuandikwa kuwa anaweza kukumbana na kifungo cha miaka 10 jela pamoja na faini.
Stori kutoka 101greatgoals.com imeandika kuwa staa huyo wa Cameroon anaweza kufungwa miaka 10 jela na faini ya euro milioni 14 ambazo ni zaidi ya Tsh bilioni 30 kwa kosa la ukwepaji kodi akiwa Hispania katika kipindi kati ya mwaka 2006 na 2009 kupitia mauzo ya haki ya picha zake.
Eto’o alicheza na kuishi Hispania akiwa anaichezea FC Barcelona kuanzia mwaka 2004 hadi mwaka 2009 alipoamua kuhama na kujiunga na Inter Milan ya Italia na baadae kwenda kucheza soka Urusi katika klabu ya Anzhi Makhachkala

Ushindi wa KRC Genk unaowafanya watinge hatua inayofuata Europa League

Usiku wa leo November 24 2016 timu ya nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars anayecheza soka la kulipwa ya KRC Genk ya Ubelgiji Mbwana Samattailicheza mchezo wake wa tano wa hatua ya Makundi ya UEFA Europa League dhidi ya timu ya Rapid Wien ya Austria.
KRC Genk katika mchezo huo wa tano walikuwa nyumbani katika uwanja wao wa Luminus, Genk wakiwa nyumbani walifanikiwa kuutawala mchezo kwa asilimia 55 dhidi ya wageni wao Rapid Wien, kitu ambacho kimewasaidia kuibuka na ushindi wa goli 1-0 lililofungwa na Nikolaos Karelis dakika ya 11

Kwa matokeo hayo Genk na Atletico Bilbao wanafuzu hatua inayofuata kutokana na wote kuwa na point 9 wakati Rapid Wien na Sassuolo ya Italia watakuwa wanasubiri mchezo wa mwisho wa kukamilisa ratiba, maana hata wakishinda watakuwa na point nane kila mmoja, point ambazo hazitoshi kuipiku Genk wala Atletico Bilbao.


Guardiola amemtaja staa wa Man City atakayekuwa nje ya uwanja kwa wiki 6


skysports-vincent-kompany-man-city-manchester_3837809“Sergio Aguero hajaumia anatatizo dogo tu katika mguu wake na Zabaleta pia tutajua tukifanya mazoezi leo, lakini Vincent Kompany atakuwa nje ya uwanja kwa wiki nne hadi sita, tuna njia nyingi za kuziba pengo lake lakini Toure pia anaweza kucheza beki wa kati

Saturday, October 1, 2016

Janet Jackson Spotted for First Time After Baby News -- First Sighting In Months!


Janet Jackson Spotted for First Time After Baby News -- First Sighting In Months!
Xposure / AKM-GSI
See More Pop Stars -- Then & Now!
The ever elusive Janet Jackson was photographed on a rare outing in London this week -- the first time we've really seen her out since revealing she was planning to start a family back in April.
The 50-year-old sported grey sweats, a black sweater and a black and orange scarf for her outing to Back In Action, a store whose website says "is dedicated to beating back pain by improving the furniture you use." While the store sells everything from ergonomic recliners to cribs, she was reportedly seen checking out a stroller inside.
The singer, 50, has kept an extremely low profile since postponing the European leg of her tour this past spring. "We're in the second leg of the tour, and there actually has been a sudden change," Jackson said at the time. "I thought it was important that you be the first to know. My husband and I are planning our family. So I'm going to have to delay the tour."
While she has never actually said she's carrying her first child with husband Wissam Al Mana, 41, two of Janet's brothers, Tito and Jermaine, confirmed the news for her in two separate interviews.
"Janet is very well pregnant, she's doing very well, she's taking it easy," Tito told Andy Cohen in June. "She's hoping for a healthy baby. She don't know what she's gonna have, a boy or girl."
"Janet's my baby... She's pregnant," Jermaine told EXTRA in May. "She's like a baby to me, a baby having a baby, but at the same time, she's my little sister. I'm an uncle again, which I'm very proud of. I wish them both the best. If they need any baby skills, I'm the best at it 'cause they all say I have the most kids."
Jackson and Al Mana tied the knot in 2012.

Angelina Jolie I Don't Want Brad Prosecuted

Angelina Jolie I Don't Want Brad Prosecuted

EXCLUSIVE
0929-brad-pitt-angelina-jolie-getty-2Angelina Jolie will not cooperate with law enforcement if there's a move to file child abuse charges against Brad Pitt ... TMZ has learned.
Our Angelina sources say she's adamant ... Brad should not face criminal charges for getting physical with 15-year-old Maddox on their private jet. We're told she'll go "radio silent" if authorities make a move to build a case against her estranged husband.
We're told Angelina was forthright with the L.A. County Dept. of Children and Family Services, telling social workers Brad struck Maddox (in the face).
Other sources say Brad did not strike his son in the face, but instead lunged at him and Angelina got in the way, causing Brad to inadvertently make contact with the boy's shoulders.
Angelina, we're told, has a singular focus ... protecting her kids, not punishing Brad.
DCFS does have the authority to recommend custody restrictions to the dependency court, although it's looking more and more like it will not reach that stage. Furthermore, given there were no injuries to Maddox and conflicting accounts of what happened, prosecution is also unlikely.

Thursday, September 1, 2016

Usajili 2016/17: Mambo muhimu yaliyotokea sokoni Uingereza

Manchester United
Klabu za Ligi ya Premia zilitumia zaidi ya £155m siku ya mwisho ya kuhama kwa wachezaji kipindi cha majira ya joto na kufikisha jumla ya pesa zilizotumiwa hadi rekodi mpya ya £1.165bn.
Klabu zilikuwa tayari zimetumia jumla ya£1.005bn kufikia saa nne mchana Jumatano saa za Afrika Mashariki na kuvunja rekodi ya mwaka jana ya £870m.
Klabu 13 za ligi hiyo kuu ya England zilivunja rekodi zao sokoni.
Hapa chini ni mchoro unaoonesha matumzii ya fedha kwa klabu za Ligi ya Premia kwa miaka 10 iliyopita, Majira ya Joto.
 Matumizi EPL

Mchezaji aliyenunuliwa pesa nyingi zaidi ni Paul Pogba

Paul Pogba

Amerejea Manchester United Image result for pogba

£89m
Pesa ambazo Man Utd wamelipa kumnunua Pogba kutoka Juventus
  • £1.5m Pesa ambazo Man Utd walimuuza Pogba kwa Juventus 2012
  • £61.9m Faida ambayo Juventus wamepata
Hapa chini ni orodha ya wachezaji walionunuliwa ghali zaidi na kalbu za Ligi ya Premia msimu wa 2016-17:
 The list of the biggest fees spent by Premier League clubs during the 2016-17 summer transfer window
Klabu zilizovunja rekodi zao binafsi katika ununuzi

Manchester United: Paul Pogba (£89m) Bournemouth: Jordon Ibe (£15m)
Liverpool: Sadio Mane (£36m) Sunderland: Didier N'Dong (£13.6m)
Crystal Palace: Christian Benteke (£32m) Hull: Ryan Mason (£13m)
West Ham: Andre Ayew (£20.5m) West Brom: Nacer Chadli (£13m)
Leicester: Islam Slimani (£29m) Watford: Roberto Pereyra (£13m)
Southampton: Sofiane Boufal (£16m) Burnley: Jeff Hendrick (£10.5m)
Swansea: Borja Baston (£15.5m)
Klabu mbili za Manchester, City na United, zilitumia zaidi ya £150m.
Meneja mpya wa Manchester United, Jose Mourinho, alimnunua Paul Pogba kwa rekodi ya dunia £89m.
Pia walimnunua kiungo wa kati kutoka Armenia Henrikh Mkhitaryanna beki wa Ivory Coast Eric Bailly, wawili hao kwa £30m.
City, chini ya Pep Guardiola, walinunua kiungo wa kati Leroy Sane kutoka Schalke kwa £37m kisha wakalipa Everton £47.5m kumchukua beki John Stones.
Chelsea na mmiliki wao Roman Abramovich, walimpa meneja mpya Antonio Conte nguvu mpya za kutumia pesa.
Alitumia £120m, ikiwa ni pamoja na £34m kumrejesha beki Mbrazil David Luiz kutoka Paris St-Germain na £33m kumpata mshambuliaji Mbelgiji Michy Batshuayi kutoka Marseille.

Waliotawala mitandao ya kijamii

Ni mchezaji yupi aliyezungumziwa sana mitandao ya kijamii?
Ilikuwa ni difenda Mbrazil David Luiz aliyerejea Chelsea kutoka Paris St-Germain.
Kulikuwa na ujumbe 330,000 katika Twitter kumhusu, akifuatiwa na Jack Wilshere wa Arsenal, aliyetumwa kwa mkopo Bournemouth. Kulikuwa na ujumbe 108,000 kwenye Twitter kuhusu kiungo huyo wa kati.
Kipa wa Manchester City Joe Hart, aliyeenda Torino kwa mkopo, saini mpya wa Tottenham Moussa Sissoko na Samir Nasri wa Arsenal, aliyetumwa Sevilla, ndio wachezaji wengine waliozungumziwa sana.A graphic showing the list of the most talked about players on social media during the 2016-17 summer transfer deadline day. There were 330,000 tweets about David Luiz, followed by Arsenal's Jack Wilshere, who was sent out on loan to Bournemouth. There were 108,000 tweets about the midfielder

Share

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More