Thursday, August 6, 2015

Breaking News:Profesa Lipumba Kashindwa Kuvumilia, Haya Ndio Maamuzi yake Magumu


Kumekuwa na stori nyingi ambazo zimeandikwa sana Magazetini kuhusu Umoja wa Vyama vya UKAWA, baada ya Mbunge wa Monduli kukaribishwa CHADEMA na UKAWA stori nyingine zikaanza kuchukua headlines kuhusu baadhi ya Viongozi waliopo Vyama vya UKAWA.

August 06 2015 nimeipata taarifa rasmi kutoka kwenye Kikao ambacho Prof. Lipumba amekifanya Dar, ametangaza rasmi kujiuzulu nafasi yake ya Uenyekiti wa Chama hicho.

Kunani?

0 comments:

Post a Comment

Share

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More