Sunday, June 21, 2015

HUDDAH NA SKENDO...


HuddahHuddah ni Mkenya ambaye alichukua headlines na uzito wa jina lake ukaongezeka baada ya kwenda kushiriki kwenye shindano la Big Brother Africa Afrika Kusini.
Baada ya hapo umaarufu wake uliongezeka na maelfu ya watu wakaanza kumfatilia kwenye mitandao yake ya kijamii ambako amekua akipost picha mbalimbali za matanuzi ambapo leo kwenye Interview Part I aliyofanya na millardayo hapa chini anatugusia sehemu ya maisha yake ambayo wengi walikua hawayajui.

0 comments:

Post a Comment

Share

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More