
Ilikua
ni party iliyoandaliwa na Mastaa kutoka kwenye sekta ya burudani na
ikavunja rekodi ambayo haijawahi kuvunjwa Tanzania kwa kuwa na kiingilio
kikubwa na bado ticket zikaisha huku party yenyewe ikinogeshwa na
Diamond na mpenzi wake Zari ambaye ndio ilikua mara ya kwanza Diamond
anamuita mbele ya Watanzania.
Video hii imevunja rekodi kwa kutazamwa YouTube na kugonga views zaidi ya laki tatu na elfu tisini.
0 comments:
Post a Comment