Hii ndio sababu ya msanii kumuamini meneja
Baada ya msoto na hatimaye kufanikiwa
kimuziki Ambwene yesaya AY ametangaza rasmi kumpata mtu atakayesimamia
Kazi zake (Meneja)ambaye ni Sallam ambaye pia anamsimamia #Diamond.
Sallam amesema licha ya Ay kuwa na Connections za kutosha pamoja
kujisimamia mwenyewe mda mrefu,ameamua kufanya naye Kazi kwasababu ya
uwezo mkubwa alionao(sallam)wa kushawishi zile #connections kufanya naye biashara.Salam amesema kuwa na connection ni jambo moja na kuweza kuzishawishi connections hizo ni jambo la pili. Ingawa haimaanishi AY hawezi lakini amemuamini yeye kwajinsi alivyoona ushawishi wake.
Kusoma makala fupi kuhusu issue hii mcheki huyu #leproducer


0 comments:
Post a Comment