Waziri wa Ulinzi Korea Kaskazini mbele y a uwawa kisa kusinzia mbele ya Rais.
Serikali ya Korea Kaskazini imeingia kwenye headlines baada ya waziri wake wa Ulinzi Hyon Yong-chol kuuawa wakati kiongozi wa nchi hiyo Kim Jong-un alipokuwa akiwahutubia kwenye kambi ya kijeshi.
Taarifa
iliyotolewa na Bunge la nchi hiyo inasema Waziri huyo alikumbwa na
umauti baada ya kupigwa na kombora la kivita la kuangusha ndege mbele ya
maafisa wakuu wa serikali wakati aliposinzia wakati mkutano huo
ukiendelea.
Naona
BBC wameripoti pia kwamba ukweli wa ripoti hiyo haujabainika kutokana na
usiri wa serikali ya Korea Kaskazini ambapo idara ya ujasusi ilisema
viongozi wakuu kwenye serikali wamekuwa wakiuawa kila mmoja kwa wiki
0 comments:
Post a Comment