Saturday, April 4, 2015

Picha,Mkanda atakao pewa mshindi kati ya Floyd Mayweather na Pacquiao,Umetengenezwa na nini na thamani yake


 0317-floyd-mayweather-manny-pacquiao-belt-chosen-emerald-01-1200x630
Mabondio Floyd na Manny wametambua kuwa sio pesa nyingi tu zinagombaniwa kwenye pambano lao, ila ni mkanda wenye thamani kubwa uliotayarishwa kaajili ya mshindi.
mkanda huu wa WBC [World Boxing Council] umetengenezwa na madini ya Emerald na mwingine umetengenezwa na Onyx. Mikanda hio miwili iliwekwa kwenye mtandao wa WBC na mashabiki walipiga kura mkanda upi apewe mshindi na mkanda uliochaguliwa zaidi ni wa Emerald.
Emerald imeshinda kwa asilimia 53%. Mikanda yote inathamani ya dola milioni 1.

0 comments:

Post a Comment

Share

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More