Saturday, April 4, 2015

Diamond Platnumz na Zari The Lady Boss Wafunga Ndoa! Ushahidi huu hapa, jionee!




Jioni ya Jana Zimesambaa picha zikionesha Diamond na Zari wakiwa katika Mavazi kama ya Harusi ni kiwa na maana Shela na Suti ....Je watu hawa wameamua kuoana ama ni picha za kutubeep?
Picha hizo zimeacha maswali mengi juu ya wawili hawa....week iliyopota Diamond alimvisha Zari Pete ya Uchumba...

Diamond aliweka Picha hiyo na Kuandika Maneno haya Hapa chini:

'Wakati Mwingine Usiri Unabaraka zaidi.... Alhamdulillah
(Sometimes Privacy has more Blessings... Thank you so Much God'




0 comments:

Post a Comment

Share

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More