Sunday, March 29, 2015

Tip top connection na Bongo fleva zimepata huu msiba mkubwa leo…


Tasnia ya burudani imepata pigo kwa mara nyingine baada ya aliyekuwa meneja na mwanzilishi wa kundi la Tip top connection Abdul Bonge kufariki dunia leo March 28.
bongeee
Abdul Bonge enzi za uhai wake
Chanzo cha kifo chake bado hakijafahamika endelea kuwa karibu na  millardayo.comkwa taarifa zaidi.
Taarifa za kifo chake zimeanza kusambazwa leo March 28.

0 comments:

Post a Comment

Share

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More