Wanamuziki Beyoncé na Kelly Rowland walijumika pamoja na mwenzao
Michelle Williams,kwa pamoja walipoimba wimbo wake Gospel,unaojulikana
kama Say Yes,wakati wa tunzo za muziki wa injili zinazojulikana kama
Stellar Gospel Music Awards 2015 Tamasha hilo lilifanyika huko New
Orleans Arena Mjini Las Vegas
Wakati wakiwa jukwaani wasaniii hao walikuwa wakishangiliwa sana na wageni walioghudhuria Kwenye Tuzo hizo
Tamasha la Stellar Gospel Music Awards ndilo tamasha linalosadikiwa kuwa ndilo tamasha kubwa la muziki wa Gospel Duniani
Kwa mwaka huu waongozaji wa tamasha hilo walikuwa ni muimbaji wa Injili,Tamela Mann,na Mchekeshaji Rickey Smiley na David Mann
0 comments:
Post a Comment