Kiungo wa kati wa Arsenal Jack
Wilshere anakaribia kujiunga na klabu ya Bournemouth kwa mkopo wa muda
wa msimu uliosalia baada ya mpango wa kuijiunga na klabu ya Roma
kuzuiwa na Arsenal.
The Gunners ilikataa kufanya biashara na Roma
kwa sababu ya vile walivyochukulia uhamisho wa beki Kostas Manolas
mapema msimu huu.Wilshere mwenye umri wa miaka 24 alifanya mazungumzo na Bournemouth na Crystal Palace.
Anatarajiwa kufanyiwa ukaguzi wa kimatibabu na The Cherries
0 comments:
Post a Comment