Thursday, June 11, 2015

Unamjua Mgombea Urais mwenye elimu ya darasa la saba? >>TOKA MILLARDAYO.COM



SIKUKUUYAIDD4
Habari za magazeti za redioni leo zimekupita? Nimekurekodia stori zilizosikika leo redioni kupitia @CloudsFM zikiwa na baadhi ya stori hizi kubwa.
Safari za kuwania Urais TZ mwaka huu  zinaendelea, kuna mgombea mwenye elimu ya darasa la saba kutoka Kigoma ametangaza nia ya kugombea Urais.
Nyingine inahusu Mkuu wa Mkoa wa Kagera John Mongella kuwaonya baadhi ya watu wanaowatisha wananchi kutokujiandikisha katika kitabu cha wapigakura.
Afya za walaji kuku Dar ziko hatarini, baada ya uchunguzi umefanyika na kubaini kuwa machinjio nyingi chafu kupindukia, kuna stori  nyingine pia kutoka Moshi leo ambako mfanyabiashara mmoja aliwekwa mahabusu saa tatu baada ya kukutwa anavuta sigara.

www.audiomack.com/embed4/millardayocom/powerbreakfastcloudsfm-june112015' scrolling='no' width='100%' height='110' scrollbars='no' frameborder='0'>

0 comments:

Post a Comment

Share

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More