Wednesday, April 1, 2015

SKARTEL WA LIVEPOOL NA MIRAFU YAKE UWANJANI

Matukio ya ajali za uwanjani yamekuwa yakiripotiwa kila wakati na tayari kuna rekodi ya matukio makubwa yaliyowahi kutokea viwanjani na kuleta madhara makubwa kwa wachezaji husika.

Jana kulikuwa na ratiba ya mechi za kirafiki kwa nchi mbalimbali duniani ikiwemo ile ya England kutoka sare ya 1-1 dhidi ya Italy ikiwa ugenini pamoja na ile ya Slovakia kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Jamhuri ya Czech.
juuWakati Slovakia jana ikiibuka na ushindi huo katika mchezo wa kirafiki beki wa timu hiyo Martin Skartel alimpiga teke la uso  Daniel Kolar wa Czeck na kumsababishia maumivu makali.

0 comments:

Post a Comment

Share

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More