Thursday, April 23, 2015

Madee atimiza ahadi aliyoweka ifikapo siku yake ya Kuzaliwa mwaka huu


madee-nyumba_full

Madee anasema amefanikiwa kutimiza ahadi yake ya kuhamia nyumbani kwake Kimara na leo anamalizia kupanga vitu ndani ya nyumba. Kuhusu kazi mpya ya Dogo Janja iliyotakiwa kutoka leo 23 April 2014 Madee amesema Msiba wa Abdu Bonge ulibadilisha ratiba nyingi ndio maana hawajakamilisha kazi za Dogo Janja

0 comments:

Post a Comment

Share

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More