Thursday, April 23, 2015

HUU NI NI WAKATI KUAFAKA KWA Pep Guardiola !! KUBADILISHA MWANA MITINDO.HII NI AIBU



Uwanjani palinoga unaambiwa.. Hapa Bayern Munich vigogo wa Kijerumani, hapa FC Porto wababe wengine wa Ureno.. dakika 90 zikakamilika kwa kuiweka Bayern kwenye headlines zenye wino mzito wenye maandishi ya ushindi wa goli 6-1 !!
Nilichogundua ni kwamba kumbe camera za wanaspoti hazikuangalia matokeo hayo ya nguvu, walikua karibu pia na suruali ya Kocha Pep Guardiola, nna hizi pichaz ambao ni story kubwa bado mitandaoni mpaka leo yani !!
CDJt2wyW4AA8Ser

_82475481_pep3
_82475481_pep3CDJt2wyW4AA8SerCDJt2wyW4AA8SerUt_HKthATH4eww8X4xMDoxOjBzMTt2bJ

0 comments:

Post a Comment

Share

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More