Baada ya kumalizika kwa mechi za hatua
ya 16 ya michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, mchana wa March 18
shirikisho la soka barani Ulaya zilichezesha droo za kupanga mechi za
robo fainali ya michuano hiyo, huenda hukupata nafasi ya kuangalia droo
hiyo hii ndio ratiba kamili.
Mechi za robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya itachezwa kuanzia April 5 /6 na April 12/13
Hii ni ratiba ya mechi za robo fainali ya michuano ya Europa Ligi
0 comments:
Post a Comment