Ney wa Mitego na
Diamond
May 13 wameipiga muhuri tarehe hii kwa kuingia tena kwenye
headline,time hii wameamua kuachia pamoja collabo yao ya pili ambayo
walianza kuitangaza kupitia mitandao ya kijamii wiki chache zilizopita.

Miongoni mwa maswali waliyoulizwa na
B dozen wa
XXL ni muda walioutumia kuandaa collabo hii ambapo
Diamond
alijibu kuwa wimbo huu uliwachukua siku 7(wiki) muda mwingine
iliwalazimu kukesha studio ili tu kuukamilisha,wimbo huo unaweza
kusikilliza kupitia
Mkito.com mtu wangu lakini hapa nimekurekodia interview wakati wakihojiwa.
Ubishi waliouweka kuhusu Mapenzi au Pesa
ulianzia kwa maswali na hapa Diamond anaanza kuelezea namna
walivyokutana na mpenzi wake Zari,
0 comments:
Post a Comment