UKIACHA ILE ALIYO MUUZIA 50CENTS----Huu ulikuwa mjengo wa Bondia Mike Tyson..
Miaka ya tisini bondia wa ngumi za uzito wa juu duniani Mike Tysonalikuwa akimiliki Jumba la kifahari katika eneo la Southington, Ohionchini Marekani.
Muonekano wa jumba hilo pamoja na
kujengwa na kunakshiwa kifahari na kutumia fedha nyingi, kwa sasa
limekuwa likionekana kama gofu.
Tyson
alilazimika kuliuza jumba hilo mwaka 1999 kwa kitita cha pauni milioni
1.3 baada ya kukumbwa na kashfa ya ubakaji na sasa litabadilishwa na
kuwa kanisa.
0 comments:
Post a Comment